Huyu Anamaanisha nini?

funzadume,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hali n ngumu wapendwa tusambaziane upendo kwa kulpa kodi😎😎😎
maana huyo dada kibokoo ameshindwa tu kukwambia nilipie kodi🀭
 
Kijana kila mtu aangalie anaowaweza, ni kusumbuana na text 20 per minute na viwanafunzi staki, watu wazima text 3 kwa siku nzima. mnapeana some space
🀣🀣🀣hutaki zile baby umekula,unafanya nn,upo na nan,my karbu tuoge,my natoka naenda sokon,my sijui nini.hahaahahahah msg kibao kama unatembea na figo yake bhna🀭
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…