Huyu akamatwe haraka sana

Huyu akamatwe haraka sana

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
attachment.php
hili jipu litumbuliwe immeditely.
 

Attachments

  • 12360005_10208084279854063_9077138769410946140_n.jpg
    12360005_10208084279854063_9077138769410946140_n.jpg
    31 KB · Views: 6,358
Ni typo tu hapo, kasahau 0 baada ya 1 ya kwanza.
 
Ni makosa ya uandishi. Ninachojua alidai 10,600 kamili. Mtoa mada ndiyo mbulula. As if halijawahi kukosea. Shenzzzcxxxx
 
mutamuonea tuu bure "michikaki,biya"" kweli huyu daaah! Akamatwe yaaani hata lugha tabu akamatwe!
 
Ni makosa ya uandishi. Ninachojua alidai 10,600 kamili. Mtoa mada ndiyo mbulula. As if halijawahi kukosea. Shenzzzcxxxx
mbon umekasirika? au we ndo meneja wa hicho ki bar mnachouza chipusi na michikaki na biya?kwendaaaaa
 
Ungekuwa ww ungeweza kuelewa ??????
 

Attachments

  • 1450481898479.jpg
    1450481898479.jpg
    12.4 KB · Views: 719
Hivyo ndivyo wateja wengi wanavyoumizwa bila wao kujua.
Nikiletewa bill naikagua mara tatu niridhike na hesabu kabla ya kulipa
 
Hiyo bar ingewapa kozi wahudumu wake japo wajue kuandika majina ya vitu wanavyouza jamani........ Hapo kwenye hesabu nahisi ameshindwa namna ya kuandika 10,600 ila atakuwa aliitamka kwa mdomo
 
Hii jana mitaa ya kinondoni
 

Attachments

  • 1450516203739.jpg
    1450516203739.jpg
    29 KB · Views: 445

Similar Discussions

Back
Top Bottom