Huyo hapo

Mbona unakosoa uumbaji wa mungu, mbona hakuna kitu cha ajabu hapo?

Wanyama jamii ya paka kama simba,chui,duma na wengine wengi wanapopata reflection ya mwanga macho yao yanang'aa siku zote na hii ipo kibiologia zaidi.

Hiyo ni hofu tu mliyojijengea, mie nakumbuka miaka ya nyuma nilipokuwa Mbeya kuna makabuli watu walikuwa wanaogopa kupita wakati wa usiku wakisema kuna mambo ya ajabu na kishirikina yanatokea, Mimi nikabisha na kutaka kuhakikisha nikawa napita kila siku usiku wa manane na sikuona chochote ingawa watu walikuwa wananionya.

Hivyo ni visa tu katika jamii ambavyo vinatakiwa viwepo ili watu waendelee kuishi
 
Ni kweli kuna reflections lakini akiwa gizani na mchana kama ukipiga picha kumi nne ndio anaweza kuwa na reflections huyo zote ziko hivyo hivyo kikubwa ni kwamba alikaa kuondoka kwenye ngazi mpaka nilipofanya yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…