Huyo hapo

Juzi kati nimewahi kuamka... naenda job bado kuna giza nakuta paka barabarani macho yanangaa kama huyo.. nikipiga makelele hakimbii.. nikimfukuza hatoki ikabidi nirudi home hadi kukuche tu
 
Kalia hayo tu kwa kujitafutia umaarufu kwa mambo yaso tija,muda unasonga
 
Juzi kati nimewahi kuamka... naenda job bado kuna giza nakuta paka barabarani macho yanangaa kama huyo.. nikipiga makelele hakimbii.. nikimfukuza hatoki ikabidi nirudi home hadi kukuche tu
kwani alikaa njia nzima
 
Juzi kati nimewahi kuamka... naenda job bado kuna giza nakuta paka barabarani macho yanangaa kama huyo.. nikipiga makelele hakimbii.. nikimfukuza hatoki ikabidi nirudi home hadi kukuche tu
Ndio kama huyo kakataa katakata kunipisha nipite alfajiri ya leo mwili wote mweupe mkia na kwenye paji la uso ndio kweusi, macho ndio kama hivyo nikasema huyu hanijui huyu nikabadili makubazi kushoto kulia na kulia kushoto nikampiga picha kisha nikapanda kinyume nyume kukaribia alipo kasepa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mbona umem-label namba 1,2 na 3. Zina maana gani mkuu?
 
hiyo ndio solution? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
eeh bhana eeh ni noma, dada Heaven on Earth ungevua zile skuna halafu ugeuze, hihihi [emoji30] [emoji30]
 
Juzi kati nimewahi kuamka... naenda job bado kuna giza nakuta paka barabarani macho yanangaa kama huyo.. nikipiga makelele hakimbii.. nikimfukuza hatoki ikabidi nirudi home hadi kukuche tu

hahahahaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…