Huwezi ukamfananisha Eddo Kumwembe na Shaffih Dauda

Kwani uchambuzi wampira maana yake nn tuanzie kwanza hapo? Maana msije mkalinganisha na wale wachambuzi wa siasa mjue
 
Nmeshtushwa sana na mti mmoja kilaza anasema eti shaffi dauda anaweza akamfikia eddo kumwembe. Nlimtizama nikamwambia kilimanyege kinaweza fikia urefu kilimanjaro.

Nyie mnaona shaffi elimu yake tu nayo ndo hivyo tia maji tia maji.uwezo wake wa kujieleza ni batamaji.

Eddo kumwembe anabaki kuwa ni mwanamichezo na mchambuzi bora kabisa nyuma ya dr leakey.huyu.hana mbishi. Shaffi dauda apambanishwe na salome majogo maana hata ali mayayi ni mzuri.
weka CV zao hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom