HUWEZI KUWA RAIS MAREKANI UKIWA MASIKINI

HUWEZI KUWA RAIS MAREKANI UKIWA MASIKINI

avalanche

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
227
Reaction score
234
Inawezekana Donald Trump ndiye akawa rais wa marekani ambaye ana utajiri mkubwa zaidi licha ya kuwa marais wote waliopita marekani walikuwa na utajiri mkubwa pia. Tazama mgawanyiko huu na vitu ambavyo viliwapa marais hawa utajiri kabla na baada ya siasa

Ranking Every U.S. President By Net Worth
 
Sio kweli, unaweza kuwa Rais wa Marekani bila kuwa tajiri! Mifano mahususi katika miaka ya karibuni ni Bill Clinton na Barrack Obama, japo Clinton amekuwa tajiri baada ya kumaliza urais kutokana na kazi ya kuhutubia sehemu mbali mbali, na Obama hajawa tajiri kwa viwango vya kawaida ila atanufaika pia kwa mihadhara na royalties za vitabu atakavyoandika na vilivyopita baada ya kutoka white house. Unaweza kuwa rais bila kuwa tajiri Marekani.
 
Nafikiri hii ni nzuri kwa ukiwa tajiri utapata muda mzuri wa kuwafikiria maskini na jinsi ya kuwakwamua kutoka kwenye lindi la Umaskini.
 
Kama ni maskini unaweza kuwaonea wivu matajiri maana maskini wengi wanaamini matajiri ni watu wa dhuluma.Kwa hiyo wanaweza kuwajengea chuki matajiri,kutunga sheria za ajabuajabu ambazo wanadhani ni za kuwakomoa matajiri kumbe zinazorotesha maendeleo.
 
Obama alikuwa wa kawaida tu, akiwa na nyumba moja ambayo hata sidhani alikuwa amemaliza kuilipia manunuzi yake.
 
Kwani kuna mwana siasa masikini duniani???

Kila mwana siasa ni tajiri refer case study ya Tanzania, nitajie mwana siasa masikini Tanzania
 
Back
Top Bottom