Huwezi kumlaumu marehemu.

Jamani jamani hawa viumbe hawa!! Sasa haina haja ya kwenda kwa gwajima coz suluhu ni kumleta dem Kama Agnes Masogange Aje kufufua wafu(wa kiume lakini).!
 
Jamani jamani hawa viumbe hawa!! Sasa haina haja ya kwenda kwa gwajima coz suluhu ni kumleta dem Kama Agnes Masogange Aje kufufua wafu(wa kiume lakini).!
Hahahaaa.....unaenda msibani halafu marehemu anafufuka,....... Hapo ndo utajua kuna watu wamefungiwa turbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…