Huwezi kumfanya mwanamke/mwanaume kuwa mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huwezi kumfanya mwanamke/mwanaume kuwa mpya

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kimbweka, Sep 11, 2012.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Alishakuwa na wachumba wengi na wewe unajaribu bahati yako now?
  Aliwahi kupewa talaka?
  ... Aliwahi kuwa mwingi wa habari,
  Anawadanganya rafiki zake na wewe upo akiogopa kuleta mgogoro au kuumia moyoni,
  Anasifika kwa kukalia (controlling) watu,
  Kumbuka:
  “History repeats itself”

  Na ukisikia binti au kaka anakwambia maneno yafuatayo be very careful na ikiwezekana tumia akili kuliko moyo.
  “Sijawahi kujisikia kwenye mapenzi (love) kama tulivyo mimi na wewe, sijawahi kupata mtu anayenifanya nijisikiae vizuri kama wewe unavyonifanya nijisikie na hakuna mtu amewahi kunielewa kama unavyonielewa wewe”
  Mtu anayeongea hivi kama aliwahi kupendwa na kuwa kwenye mahusiano inabidi uwe makini sana na haya maneno it may be misleading.

  Hii ina maana anakwambia kwamba
  “Sitafanya kama nilivyofanya huko nyuma, nilikuwa ovyo na sikuwa nampenda kikwelikweli huyo wa kwanza.
  Wazo kwamba upendo wa kweli (true love) huweza kumbadilisha mtu kutokana na patterns zake za zamani kimuujiza si kweli mara zote hasa kama feelings zimetangulia zaidi ya akili.
  Baada ya mwaka mmoja historia hujirudia na unaweza kuwa sawa na wale amekwambia hawajaweza kufanya ajisikie anapendwa.
  Ndipo yatakupata ya kukupata!
  Ni hatari sana kwako kukubali kwamba amekupenda kiasi cha kuweza kubadilika asili yake kama kweli huko nyuma alipendwa, si muda mrefu unaweza kukutana na full script ya maisha yake ya nyuma ndipo utakutana uso kwa uso na mbwa mwitu ambaye ulidhani ni kondoo.

  Ili kumfahamu mtu vizuri ni muhimu kutafuta habari kamili kuhusu yeye kwa kuruhusu MUDA ufanye kazi yake.
  Mwangalie tabia yake na maisha yake kwa mtazamo wa mtu mwingine na si wewe.
  Kama kuna complaints kutokana na mahusiano yake ya zamani basi fanyia kazi.
  Sikiliza ndugu zake na familia yake na marafiki zake kuhusiana na kila hadithi unaambiwa kuhusu yeye, nzuri na mbaya.
  “An apple doesn’t fall far from the tree”

  AMEN....!!!
   
 2. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  :amen:
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Kimbweka unaanza kutisha now...
  a great thread
   
 4. NAFIKA

  NAFIKA Senior Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  :A S-confused1:
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Vipi unahitaji "TIBA" mbadala?
   
 6. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  unaweza kumjua mwanaume/mwanamke kwa kumpa nafasi ya kukufahamisha yeye ni nani!mara nyingi napenda kuhukumu mtu kwa yale ninayoyashuhudia mimi!unaanzaje kuanza kutafiti habari za mwanamke/mwanaume wako kwa watu wengine!after all natengeneza penzi na mahusiano yangu vile ninavyoamini ni sahihi,kufail kwa mtu aliyekuwa na mtu wako hakumaanishi huyo mtu wako si sahihi!wengine huwa wanafall kwa watu wasio sahihi,so hawawezi kukuambia usahihi wa mpenzi wako!after all wat are they gaining from telling yu the truth?its ahell to them how yu treat tha person!ALISHINDWA KWA NAFASI YAKE NITAWEZA KWA NAFASI YANGU!
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  a good insight
   
 8. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Ndoyo maana umetahadharishwa kutumia akili zaidi kuliko moyo.....!!!
  Ukitumia moyo zaidi mengine hutaona umuhimu wake ila kuna matokeo yake utayakumbana nayo mbeleni utakapoanza kutumia akili....
   
 9. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  kama kutumia akili ni kumchunguza mpenzi wangu na kufahamu tabia zake kupitia watu wengine,mi ni taahira i see!sina hata akili moja!
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Si lazima kupitia watu wengine its just an optional, you can use your brain in any other ways that will suit your situation and satisfaction.......!!!!
   
 11. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  nafkiri namfahamu kiasi cha kutosha kwa matumizi ya binadamu!
   
 12. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Then you're luck.......
   
 13. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #13
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  oh really I AM na namshukuru Mungu kweli kweli!yani namjua mpka wakijamba watu wawili kwa wakati mmoja naweza kukuambi mume wangu kajamba wa kwanza au wa pili!hata kama kikiwa kile cha ufyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuz!!
   
 14. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #14
  Sep 11, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  umeona eeh, huyu jamaa nilikuwa namkubali kuleeee kwenye yale mambo lakini sasa mhhh, ni nouma :clap2: :clap2: :clap2:
   
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  mnhhhhhhhhhhh
   
 16. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #16
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  na inaelekea una uwezo wa kutofautisha vijambo vya wengine na mmeo kwa kunusa harufu.........
   
 17. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #17
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  unaguna nini The Boss? yani hapo naeleza the extent ya kumjua kiranja mkuu!ahahaahhahhahhhhhahaha
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Sep 11, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kumfanya mtu abadilike kupo, ila sio "On Demand". Inatokea bila yeyote kutaka au hata kutarajia. Mnakutana ghafla yule muhangaikaji anaona hapa sitaki kuvurunda, hapa napajali, hapa nataka kuweka makazi ya kudumu kwa sababu ambazo anapata toka kwa mwenzie. Iwe vionjo vya mapenzi au level ya kujali kunakoamsha hisia zake za kimapenzi (SIO ZA NGONO) but it does happen.

  Ndio maana wale players na playettes hua wanafika mahali wanasettle kama vile sio wao waliokuwa wakihangaika kila mtaa hapo kabla.
   
 19. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #19
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  hiyo ni extent ya kumjua mhusika,chezea mimi wewe!
   
 20. NAFIKA

  NAFIKA Senior Member

  #20
  Sep 11, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nope......!
   
Loading...