Huwezi amini!

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Huwezi amini jana wakati fainali ya klabu bingwa ulaya kati ya Barcelona na Man u,kocha wa Man u Sir Alex Fergason alikuwa akitetemeka wakati mpira ukiendelea kutokana na hofu na pia kutokana na mpira wa hali ya juu uliokuwa ukionyeshwa na vijana wa Pep Gurdiola BARCELONA.Jamani hadi babu anatetemeka kweli BARCELONA ni noma.
 
Niliona, tena kawiva, kipigo cha namna ile halafu nyumbani kinauma jama. Mnhhh, Mzee akiiona hii post nimeumia.
 
Back
Top Bottom