huwawei unlocking code

mfereji maringo

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
1,037
250
wadau naomba msaada, nimejaribu ku unlock modem huwawei modem kwa kutumia huwawei unlocker (IMEI 359574035564815 ) nikapata unlocking codes ambazo ni 57142205, nikazitumia ku unlock lakini ikawa ina countdown hadi 0, na sasa nikiwekeka line tofauti katika modem ili nijaribu ku unlock inanambia "only spesified SIM can be used". ila nikiweka line yake ya voda inakubali, je nifanyaje kujaribu tena ku unlock?​
 
Modem yako Model gani?............by the way hata kama ni huawei, UNLOCK code ilipaswa kuwa 55221881, itakuwa umezidi maximun number of trials ambazo ni 10........weka kwanza Model namba yako tuanalie kama itawezekana
 
Back
Top Bottom