Huwajui waluguru ndio maana

Kazi yao ni kucheza vigodoro tu na ushirikina watoto wa kike wanapendaa kuzalishwa hvyo Kila mtoto na baba yake...
Pamoja na kuzalishwa ovyo Lakn bado familia zao wanafurahia kitendo hicho mpaka wanawawekea sherehe wanazoziita kinemwa
 
Kazi yao ni kucheza vigodoro tu na ushirikina watoto wa kike wanapendaa kuzalishwa hvyo Kila mtoto na baba yake...
Pamoja na kuzalishwa ovyo Lakn bado familia zao wanafurahia kitendo hicho mpaka wanawawekea sherehe wanazoziita kinemwa


😂😂😂hushangai ht siku 1 kijana aLomzalisha akawa anakula bia na babamkwe mtoto haend ht shule. yaan kwa elimu ndo nachoka. hawajali kbs. mrad kijana wao ana endesha pikipiki UMEMALIZA
 
Hahahaha Nimegundua humu jukwaani waluguru sio wengi la sivyo 😀
 
Kazi yao ni kucheza vigodoro tu na ushirikina watoto wa kike wanapendaa kuzalishwa hvyo Kila mtoto na baba yake...
Pamoja na kuzalishwa ovyo Lakn bado familia zao wanafurahia kitendo hicho mpaka wanawawekea sherehe wanazoziita kinemwa
Duh hatari
 
Hahahaha Nimegundua humu jukwaani waluguru sio wengi la sivyo 😀


😂😂bwana eh huo ni ukweli tupu...ila age hyo kijana wa kisukuma at 24age ashaoa n ashajenga kakibanda pemben ya nyumba ya wazaz..na ana watoto3..!wakisukuma hawahami home kwao aiseee anajenga hapo hapo..so masuala ya misos mnashare..ni kazi ya kuzaa tu na kulima😂😂..ila wakihehe jaman wapo smart sana....wahehe mtoto ana 12yrs ashaanza jitegemea ..yaan ana geto ana godoro tayari yaan vipo smart mno sema wana hhasira na kiburi
 
Wewe nawe bure kabisa, sasa unatoa hoja ya nyumba za udongo, kuna mkoa ambao hauna hizo nyumba, kariakoo kwenyewe zipo hizo nymba,

Halafu watu wengi hawajengagi nyumba za familia kwa sababu sio yako peke yako, unajienga leo kesho inauzwa

Ushirikina inaonekana hata wewe ni mshirikina pia, labda ulikuwa unapigaga ramli ukawajua waluguru ndo wanakuroga

Sent using Jamii Forums mobile app
 

WWatani zangu hawa kwao mluguru mwenzao akipata hela halafu akajenga nyumba nzuri wanaanza kumsema kwa maneno "kazopata, kazozenga. kazoringa", wakiwa wanaamaanisha kuwa akipata anajenga halafu anaringa!
 
jaman muwe mnafanya hata viutafit au mnauliza basi sio mnakurupuka tu kuchangia nyuzi,

Umeleta hoja ya wahehe kulima, sasa waluguru hawalimi au, morogoro ingetajwa vip kuwa ghala la taifa, hao uliowataja si wanalima vimbogamboga tu



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wasukuma ndo buure kabisa, kwa u-trekta si wapingi, ila wakishavuna ndo utawajua kuwa ni mapimbi tu

Na baadhi ya mikoa madada poa washawashtukia, wanaenda kuweka kambi kwenye vijiji vyao kipndi cha mavuno

Ndo maana most of them, kazi kuubwa mafanikio nukta,

Sent using Jamii Forums mobile app
 

😂😂😂kama unaishi moro niambie nikuoneshe mashambaya waluguru ufe kwa kucheka...
Binafsi nna shamba la 🍓🍓..nilikuta wenyeji wamelima ukubwa wa sebule kubwa amemaliza. .ukikuta mahidni amelima hatu 20 tu amemaliza..hahhaa ww usibishe tu...km upo moro sema nikuoneshe mashamba ya waluguru ya 🍓upime hatua kama kuna mtu ana hata heka 2 au 1 😏
 

Ukinisoma sijawasifia wasukuma..nimewasifia wahehe..ila nikafananisha na wasukuma age hyo ana watt wa3 na mke ana mimba..!ila wameamkasana twende ifakara unionese ht nachine ya kukoboa mpunga isio ya msukuma..majumba yt mazuri ya ifakara ni wasukuma 100%
 
Unachobisha ni nini?
Au umeamua kubishana tu kwa vile kubisha kupo? !!

Kama ni nyumba ya ukoo kwanini hamzikarabati?

Kwanini baba mama babu bibi wajukuu zenu watoto wenu wajomba zenu wote mnaishi na kuzaliana kwenye pagala hilohilo?
Ni kwanini hamjiongezi akili hata mmoja ajitoe ajenge nyumba yake pembeni?
Kwanini mnaruhusu watoto wenu wa kike kugongewa na kuzalishwa watoto ovyo kwenye nyumba za ukoo?

Kwanini hamsomeshi watoto zaidi ya kuwa bodaboda na kucheza singeli?

Nitajie hata warugulu watatu ambao ni maprofessor au Dr? !!!

Acha kutetea ujinga ndio maana sasa hivi tumeamua kuwahamisha wote mkakae kinole na bwakila huko.....
Hapa mjini utatukuta wanyakyusa wasukuma na wachagga basi. ...
 
Mimi ni nshomile, nimezaa na mrugulu, aisee muziki niliochezeshwa sio wa dunia hii, mipasho, maneno mengi, kila Mara kavaa Dela, mashost mtaa mzima na kila Mara kila siku anaomba kwenda kwao aisee.

Nilichoka kwa kweli. maana alianza kunawili huku Mimi mwili ukipotea, nikakosa balance kabisa kimaisha mwisho nikaona isiwe taabu sijamuoa huyu wacha nimrudishe kwako, siku ya kuondoka alikomba nyumba nzima nikabaki na nguo zangu,viatu na mavuzi yangu tu.

Ila kitandani na suala la misosi plus usafi nawahusudu sanaaaa halafu wana maumbo mazuri mazuri kabisa sema tabia ndo hamna kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulima wanalima basi?
Hawa wanalima viplot. ..
Mluguru akilima sana amelima matebembele nje ya nyumba yake na mahindi matuta matatzo. ....
 


Kazia hapo kwenye UFUPI (ingawa ni majaliwa ya Mungu) na UVIVU
 
Kulima wanalima basi?
Hawa wanalima viplot. ..
Mluguru akilima sana amelima matebembele nje ya nyumba yake na mahindi matuta matatzo. ....


😂😂😂ndo nilichomjib mm..analima hatua 5 mahidn amemaliza hahahaa huyu hajitambui huyu
 


Hapo kwenye usafi labda na ndio maana wengi ni (Mabeki 3) kwenye umbo sina uhakika
 
Shida yao kubwa na ya hatari ni uchawi. Hapa nimewtenganisha na wakazi wengi wa Pwani ambao wao ni washirikina. Waluguru wengi ni wachawi wachawi. Hasahasa watu wazima na wazee ila kwa sasa vijana wao wanabadilika hasa waliopo mijini ila wale wa vijijini doh...wachawi mpaka basi. Mapungufu yao mengine mengi yanarekebishika na yapo kwa mmoja mmoja.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…