Huwa unafanya nini unapotongozwa mtandaoni?

Huwa unafanya nini unapotongozwa mtandaoni?

Yeah, nadhani ndio huo!! Ulikua na background flavi hivi kijani kibichi, huo ujinga saivi umehamia telegram, Luna uzandu uzandu mwingi sana kule, kule kuna watoto wa kike wanapiga miguu yote.
Dah ni hatari, ila sijaona kama tinder mkuu yani kule watoto wa kike shatashata wanajiuza bila kificho
 
Kutumia mitandaao kuna changamoto sana


Watu wengi wamejikuta wanapata karaha kwa kutongozwa mtandao
Ingawwa wengine hanapenda

Saababu
Picha unazazoppost
Muonekano
Au lugha
Jina unalotumia

Au sababu yyte ile

Nb:binafsi nakutanaaga na haya maswaibu had nikaamua kudelete picha zangu hasa facebook na inssta :Kwakua mi kublock mtu huwa cwez bas huwa nafuta msg bila kuifungu!


Tujuze
Wewe ni pisi au msela
 
Seriously nilijua we ni "She" kumbe ni "He" ... sasa najiuliza huyu jamaa anatongozwa na kina nani mpaka akereke kiasi hicho. Ungekuwa "She" ingekuwaje
Mchele coca huyo
 
Mwanaume alie kamilika hawez kulalamika kisa katongozwa na demu labda huyo mwanaume awe anapakuliwa

Tuko kwenye zama za democracy hata wenye ufinyu wa akili mnaruhusiwa kuongea!![emoji23][emoji23]

Feel free mkiwezeshwa mnaweza !
 
Kutumia mitandaao kuna changamoto sana


Watu wengi wamejikuta wanapata karaha kwa kutongozwa mtandao
Ingawwa wengine hanapenda

Saababu
Picha unazazoppost
Muonekano
Au lugha
Jina unalotumia

Au sababu yyte ile

Nb:binafsi nakutanaaga na haya maswaibu had nikaamua kudelete picha zangu hasa facebook na inssta :Kwakua mi kublock mtu huwa cwez bas huwa nafuta msg bila kuifungu!


Tujuze
Inaoneka umeumbika mrembo au nadangaya! Tupe mambo bibie maana maisha yenyewe ya kovidi kumi na kenda si mchezo.
 
Elewa swali mkuu mbona unakua na emotions n mihemuko
Hapana mkuu sina mihemko lakini inashangaza kwa mwanaume rijali kulia lia eti anatongozwa na wanawake tena mitandaoni,

Mwanamke anaangalia vitu viwili tu,
1. Pesa
2. Muonekano Mzuri
Kama una kimojawapo wataendelea kuja wengi tu.
 
Hizi ndo znaniboa mimi ila kina dada muendelee kufurika tu
20210201_204959.jpeg
 
Back
Top Bottom