Papaa Tony
Member
- Aug 21, 2013
- 65
- 48
Mwenyewe kasema "au ndo mipango ya huyo wanayemuita Mungu" it means hamjui hata huyo Mungu mwenyewe ni kuimbe wa aina ggani.[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji16]Nenda kamtake radhi mama yako kwa kumuita dikteta uchwara,Mungu anakuona na hizo zarau zako
Yaani ndio wazazi wetu hao, kwenye maamuzi yako lazima na yeye ahusikeMzaz ni chanzo cha matokeo mabaya na mazuri kwa mtoto., kwa upande wa matokeo mazuri wanapatia asilimia chache sana thus kuwa na maamuzi magumu yenye msimamo wa hatar ili kulinda thaman yako., Aya Sasa utakuta yeye kalipenda poyoyo ambalo kenye hesabu zako hata kwa asilimia -0.000000000000001 huja wahi mfikilia
Ki ukweli Mambo ya Mungu ni subjective mkuu.Mwenyewe kasema "au ndo mipango ya huyo wanayemuita Mungu" it means hamjui hata huyo Mungu mwenyewe ni kuimbe wa aina ggani.[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji16]
Hahahakwan shida iko wapi kama una nafasi kwenye moyo wako wa kupenda tena mtafute urudishe majeshi ikishindkana mfanye mpenzi mtazamaji tu
bas jitahid kijana kufanya linalowezekanaHahaha
Nilipoteza mawasiliani yake kuna ndugu yake nilikuwa namfahamu ila alihamia mwanza ndo naendelea kumsaka
Mmhh!! digital inatupeleka pabayaUnamuita mama yako "dikteta uchwara"
..... Disrespectful
poleee....!!..Halafu mi uwa namuwazia tuu huyo aliye naye saa hizi nahisi atakuwa ana pata raha kweli
Huu si ufukuaji wa kaburi huu ni ufukuaji wa handaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee
Hahah!! Kazi ya Numbisa hiiHuu si ufukuaji wa kaburi huu ni ufukuaji wa handaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] namsubiri muhusika kwa hamu ya pespi baridiHahah!! Kazi ya Numbisa hii
Mwenyewe anaupenda huu uzi wake anasema aliandika vizuri sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] namsubiri muhusika kwa hamu ya pespi baridi