Huwa sigongwi mimi

AH!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:tape:
 
Icho kibajaji amekionea unafhani lingekua semi ingekuaje
 
Watu bana mmekamatwa sana na heading nakumbuka enzi nilipokuwa chuo nikiwa na tangazo langu nikitaka kubandika na watu walisome basi naweka heading kwamba 'USISOME HAPA'
basi kila mtu alikuwa anataka kujua kuna nini ndani yake hatimae ujumbe wangu unafika.
So mleta mada amekuwa mbunifu kidogo kutulazimisha kufungua thread yake
 
mkuu hata mimi ningeshangaa kama ungekuwa unagongwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…