Kwamba Sina Hela mpaka nilishe familia yako au siyo ndo uamini Nina pesaKwa sifa hizo utakuwa unapitia wakati mgumu sana kwenye mahusiano.huna hela na bado hujui kubembeleza?
Me sina familia ila tu wanawake wanahitaji kubembelezwaKwamba Sina Hela mpaka nilishe familia yako au siyo ndo uamini Nina pesa
Ninazo za kula na familia yangu tu make wangu na watoto wng wapendwa yaani basic needs haipigi chenga kbs Moja naingia kaburini tawaacha vzuri ila Sina Hela za kuhitaji WANTS zaidi ya NEEDS tu kama ww unazo za kufanya mambo mengne hongera ila Mimi Sina mkuu
Sawa kila mtu ana principles zake Nina mke na watoto wangu wawili wapendwa sana na naishi vzr sn na mke wangu maana ananitii na kufata maagzo yng ameniacha niwe mwanaume na mume wake sijawahi mpiga hata Kofi ni mshauri mzuri kwake na ananikubali akikosea ananijua ni mtu wa aina gani kwahiyo anajitahidi sana kufata nitakachoMe sina familia ila tu wanawake wanahitaji kubembelezwa
Niko vzr Kwa Hilo hata kazin kwangu wananijua ila Nina mipaka yangu Mimi SI muongeaji ni msikilizaji mzuri sana na takapotoa maoni asilimia kubwa Huwa wanakubali pia ni msomaji mzuri wa vitabuTyoooooh ni ngumu buh Hell yeah iriz wari iriz. Sema kun wakat lazm ujichanganye kwa hali hii ya kiuchumi unaeza pata wazo la kujinyonga bure
Sawa kila mtu na maisha yakewarren buffett aliwahi kusema kama maamuzi yako mengi unafanya kwa kutumia hisia kuliko kangalia mambo ya msingi fahamu kwenye maisha yako huwezi kufika popote pale wewe kinachoendesha apo ni hisia hamna kitu kingine ukiwa mtu mzima utaacha na siku ambayo utakuja kuacha utakua ushapoteza vitu vingi sana kwenye maisha yako
π€£π€£π€£Kwa sifa hizo utakuwa unapitia wakati mgumu sana kwenye mahusiano.huna hela na bado hujui kubembeleza?
Demidemi wangu
Sijaelewa
Read between the linesSijaelewa