Huwa najiuliza maswali haya;

Huwa najiuliza maswali haya;

Trainee

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
3,118
Reaction score
4,238
1.kwanini kwenye kukojoa (hususani wanaume) mara nyingine mkojo unaanza kutoka ukiwa katika njia mbili ghafla zinaunganika kuwa moja

2.kwanini ukiona mtu anakojoa au kupiga mwayo ghafla na wewe unapata hisia za kufanya matendo yale (kukojoa/mwayo) wakati huo kabla ya kumwona hukuwa hata na dalili

3.kwanini mavi (kinyesi) sio takamwili wakati kwa akili ya kawaida tu takamwili ni uchafu; (hoja za o'level huwa haziniingii kila nikizikumbuka)

4.kwanini ni ngumu sana kuzichukua Mali ambazo zimeachwa na wakoloni (zimehifadhiwa na wazungu kama inavyosadikika).

5.sentensi zinazokuwa na 'afanya' zipo kwenye wakati gani wa matendo?
Mfano;
1.Juma aandaa pambano
2.baba apigwa na butwaa
3.mtoto avunjika mkono akicheza

6.kwanini baadhi ya maandiko unakuta neno moja linaandikwa ki-R kidogo kwa mbele juu halafu kinazungushiwa duara au neno moja mbele yake kunaandikwa kineno kidogo kinachosomeka TIM
 
Iyo namba moja ni special kwa watu walio tahiri karibuni na pia ukitoka kusex lazima mkojo uwe na feature iyo
 
Naona maswali yte niya primary na tution
naijatwittersavages-20181221-0001.jpeg
 
Hiyo no.2 ni kwako tu sio kwa wote!
Kama mm cnaga hiyo mkuu.
 
Back
Top Bottom