babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,967
- 20,298
kaka nimecheka sana hayo maneno ya mkuchika yaani mpaka mbavu zinauma,ni kweli lakini huyu jamaa ana dharau sana dasijajua watz huwa wanataka unabii wa aina gani tena ili kufumbika macho kw ayale yanayosemwa na watu kama hawa. au kwa vile akina mkuchika walishasema kuwa 'hata mkiandika watu wenyewe hawana umeme wa kideo, hawasomi magazeti yenu...'
Yes. They are distinctive and unusual persons hasa kwenye maandiko yao.
Mimi sielewi kama watu kweli wanasoma Thread nyingine. Hii mada iko katika thread mbili:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/35474-ikulu-watakubali-kunipa-kibarua-nilichoomba-3.html
na
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-bandia-washauri-bandia-maendeleo-bandia.html
na kule nilipendekeza ziunganishwe na sasa nashauri pia ziunganishwe
namkubali sana ulimwengu, lakini huwa natatizwa naye anapokuwa kigeugeu. kwa waliomsoma kipindi kile katika rai, baada ya kikwete kuingia madarakani, wataona kama nyoka anayefahamu mambo mengi sana, lakini asiyejua ashikilie lipi moja. yafuteni makala ya jina la BARUA KWA KIKWETE. HATA HIVYO NINGEPENDA KUMSIKIA ULIMWENGU AKICHAGUA NJIA NYINGINE YA KUFIKISHA UJUMBE KWA WANACHI WENGI ZAIDI, HATA KWA KUTOA MIHADHARA SEHEMU MABALIMBALI AMBAPO NAAMINI UDHAMINI WA KUFANYA SHUGHULI HIUO UPO WA KUTOSHA ,KULIKO GAZETI AMBAZO RICH YAKE SIYO KUBWA SANA.
Hayo uliyoyanukuu unasema ni mtazamo wangu ..yes! una tatizo na hilo?
Ninachoona ni kuwa ameandika kile kinachokufurahisha ..au ulichotaka kukisikia. Sina tatizo na waandishi na maandishi yao, bali naangalia larger picture na motives zao, mimi sio naive au mwenye kuamini haraka kama wengi wenu.
Ukitaka data zaidi tafuta kuna thread nyingine ya Ulimwengu uone upande wa pili wa shilingi.
Hawa ndio wanaodeserve kupewa doctorate za heshima kutoka vyuo vikuu, na sio akina JK na karume,
To be honest huyu J.Ulimwengu amewaacha mprofessor wengi mno katika kuleta maendeleo ya nchi hii!
T
Wewe choko kama huna la kuongea kaa kimya.
Nguruwe kuzaliwa kwenye zizi la ngombe hakumfanyi kuwa Ngo'mbe...
Huyu ni MnyaRwanda tuuu
maneno yake si mabaya saa zingine lakini awe na adabu na akae on the line akiandika hizi articles zake
Kinachonishangaza hadi leo ni jinsi Jenerali alivyoweza kufanya kazi kwa karibu kabisa na Salva wa Ikulu ambaye ana uswahiba wa nguvu na mafisadi papa wa Nchi hii!
Kubenea sio mwandishi sana ila yeye anatoa kitu live hazunguki hata awe nani ni wachache sana kupata mtu kama huyu yeye liwe na liwe ataandika na hiyo ina utamu wake!!!Wako watu watatu kwa sasa katika NCHI hi ambao wakiandika lazima niwasome. Jenerali, Mzee Mwanakijiji na Johnson Mbwambo. Sina la kufanya na maandishi yao haya ambayo kama watawala/Viongozi wangeyaelewa pengine hali ingekuwa tofauti na tuliomo kama Nchi.
Huna akili wewe huwezi elewa, hivi una ID ngapi hapa JF hahahaha
You are ok!
Nae huyu Ulimwengu kachanganyikiwa na habari zake za Kinyarwanda. Kwanza atuachie nchi yetu haimuhusu. Na pia kama hatanyamaza kuna lake jambo kwani anasema sana.
Nataka kujua jambo jamani huyu kashapata uraia au asema sema tuu basi. Atuache na hadith zake tunataka si hadith na mikanganyo ya hizi hadithi ni mbaya sana kwani ndizo zilizoipeleka Rwanda kuanza kuuwana.
Huyu anatupakazia ili tujenge chuki, kama kweli atuonyeshe sera zitatakiwa kuwaje siyo uchuro na uchochezi wake hapa.
huwa mimi sioni cha ajabu anavyosema zaidi ni uchochezi.
Cha kuongea ni kwamba atueleze sera zake zinasemaje kuhusu kuwa na shule bora Africa mashariki na vyuo bora kwa africa?.
Aache uchochezi na wanajamii tuache ushabiki wa kishamba kwani wanaoumia ni sisi na ndugu zetu. Ulimwengu jhana shida tena huyu ni tajiri tayari.
Mwuulize watoto wake wanasoma shule gani muda huu au hapo siku za nyuma walikuwa shule gani?
Unakuwa ni uongozi wa kubabaisha, wa kila siku kuokoteza 'sound bite' za kauli-mbiu zisizodumu hata mwaka mmoja. Baada ya muda ukiwaangalia wanaonekana kama vile wamekwisha kusahau kauli-mbiu ya mwaka jana na sasa wanazindua nyingine.
mbali na kumshangilia Bwana Mkubwa na kumwambia, Mzee ile hotuba yako ya leo, haijapata kutokea! na upuuzi mwingine kama huo. Hakuna washauri bali wamejaa wapiga debe, mashabiki, wapambe na washikaji, wote wakigharimu fedha nyingi mno za walipa kodi.
taahira ya akili.
Itaendelea