Huu wizi umezidi.

Huu wizi umezidi.

Dengue

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
2,050
Reaction score
1,469
Hii serikali imezidi sasa kwa wizi.

Mtu analipia motor vehicle pamoja na fire extingusha TRA lakini ule mtungi hapewi anaambiwa anunue mtaani wakati malipo yamejumuisha hadi mtungi.
 
Yaani tunakwenda kwa staili ya punda afe mzigo ufike.
 
.., kama ndiyo hivyo, serikali yetu imetunyonya sana.
 
naipenda saaaaana nchi yangu .......nawe kama ni mzalendo endelea kujitolea tuijenge kwa pamoja
..............sa' mbona unakuwa mkali!!?
 
nch yangu ni kisiwa cha amani naipenda sana.
 
Naipenda sana nchi yangu ila HAINIPENDI!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ukifikiria saana, hata unashindwa kuelewa hii maana yake nini? serikali inamchukulia mwananchi wake fedha ambayo iko kwenye maelezo tu, halafu umpi kile alicholipia, wala sababu za kumlipisha umpi, kweli serikali imepata mapato, lkn kwa njia ya ulaghai. sasa enyi watu wa serikali mnaonaje? mkirejesha fedha hizo au mkitoa hiyo mitungi kwa wahusika au mtoe tamko kila aliyelipia asisumbuliwe barabarani kama ilivyo sasa.

Ni rahisi kufikiria kuwa kuna wajanja wanafaidika na hiyo mitungi hewa.
 
Tatizo letu tuna ishia kulalamika mwisho wa siku hakuna kinacho fanyika dawa ni kuwa na chama cha wamiliki wa magari hicho chama kita saidia lakini kulalamika mojamoja haitusaidii hakuna atakaye shituka wasema huu ni upepo tu utapita
 
Bora wewe motor vehicle umepata me mpaka leo nasumbuka kuipata nimelipia tangu 01/11/12 mpaka leo sijaipata nazunguka tu hapo TRA kwenye system inaonekana nimelipa ila slip hawazioni.yan balaa tupu.TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE
 
Back
Top Bottom