Huu wivu siuelewi

Huu wivu siuelewi

Huo sio wivu mkuu, hiyo ni stage yakwanza katika kufikia PhD ya uchawi yani hapo upo degree ya uchawi
 
Na wewe letaa mkuuu...!!! Sema kawaidaa tu kutamani demu wa mwana..[emoji1787][emoji1787]
 
Sijaelewa au unavivu na shedu? Dah kazi kweli kweli
 
Habari za humu, natumaini hamjambo na mnaendelea vizuri na majukumu ya kujenga nchi.

Niende moja kwa moja katika mada, mimi ni kijana wa kiume umri wangu miaka 24 mkazi wa hapa jijini Dar. Katika kuanza maisha nimeanza kukaa na rafiki yangu ambaye tumesoma naye ila shida ni kwamba sijui ni wivu au vipi yaani yeye akileta demu wake geto (kila mtu ana room yake ila tunashare sebule na jiko) najikuta nina wivu juu yake.

Hebu wadau nisaidie hii inatokana na nini?
Hii kikawaida huwatokea wale ambao huwa hawana wapenzi na wanaishi na marafiki au ndugu wenye wapenzi.mkuu fanya kutafuta na wewe wakwako .
 
Habari za humu, natumaini hamjambo na mnaendelea vizuri na majukumu ya kujenga nchi.

Niende moja kwa moja katika mada, mimi ni kijana wa kiume umri wangu miaka 24 mkazi wa hapa jijini Dar. Katika kuanza maisha nimeanza kukaa na rafiki yangu ambaye tumesoma naye ila shida ni kwamba sijui ni wivu au vipi yaani yeye akileta demu wake geto (kila mtu ana room yake ila tunashare sebule na jiko) najikuta nina wivu juu yake.

Hebu wadau nisaidie hii inatokana na nini?
unataka akupande ww ? au unataka ww umpande huyo manzi .

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Habari za humu, natumaini hamjambo na mnaendelea vizuri na majukumu ya kujenga nchi.

Niende moja kwa moja katika mada, mimi ni kijana wa kiume umri wangu miaka 24 mkazi wa hapa jijini Dar. Katika kuanza maisha nimeanza kukaa na rafiki yangu ambaye tumesoma naye ila shida ni kwamba sijui ni wivu au vipi yaani yeye akileta demu wake geto (kila mtu ana room yake ila tunashare sebule na jiko) najikuta nina wivu juu yake.

Hebu wadau nisaidie hii inatokana na nini?
24yrs hizo ni balehe
 
Kama unachukia vaa miwani usione gere..

Gere
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom