Dah.. nikiwa mdogo nimetoka kucheza mida mibovu ndio narudi home nimechafuka vumbi mwili mzima nakimbilia kukaa kwenye masofa walinunua home, maza akiniona tu ananirukia weee usikalie kochi langu pitiliza bafuni haraka kabla sijakusogelea hapo...
Msela naliunga zangu bafuni ila maza alikuwa ananikata stimu kinoma noma...