Huu wimbo wa kipindi cha michezo Radio Tanzania Unakukumbusha nini?

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,632
40,790
Wakuu ,

Huu wimbo umenikumbusha enzi hizo tunaishi kwa mgao wa umeme , umeme ukirudi unasikia "huooo".

Wewe unakumbuka nini?

Dah.. nikiwa mdogo nimetoka kucheza mida mibovu ndio narudi home nimechafuka vumbi mwili mzima nakimbilia kukaa kwenye masofa walinunua home, maza akiniona tu ananirukia weee usikalie kochi langu pitiliza bafuni haraka kabla sijakusogelea hapo...

Msela naliunga zangu bafuni ila maza alikuwa ananikata stimu kinoma noma...
 
Mida iyo ndio ilikuwa mida ya mdingi kurejea home mitaa ya chumbageni pale Tanga sasa anopoanza tu kuingia compound ya home sasa kama ndio ulifanya kosa bac unajiaanda kulamba viboko hatari sanaa
 
Dah.. nikiwa mdogo nimetoka kucheza mida mibovu ndio narudi home nimechafuka vumbi mwili mzima nakimbilia kukaa kwenye masofa walinunua home, maza akiniona tu ananirukia weee usikalie kochi langu pitiliza bafuni haraka kabla sijakusogelea hapo...

Msela naliunga zangu bafuni ila maza alikuwa ananikata stimu kinoma noma...
Hapo watu mmeshapiga msosi mnasubiri kusali kwa pamoja halafu kulala, hakuna majadiliano.
 
Jamboooo
Hamjambo Africa mashariki.
Ndugu watanzania tunawaalika katika kipindi cha Jambo.
Daah Muda huo mie ndio naamka
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom