Huu wimbo usiupige kwenye harusi yako ni uchuro

Siku hizi nikienda kwenye sherehe za ndoa huwa sifurahii kabisa eneo la muziki. MaDJ sio wabunifu kabisa.

Katika eneo ambalo naona jamaa hukosea ni eneo la bwana na bibi harusi kufungua mziki kwa kucheza nyimbo za hovyo na za kuserebuka.

Ndoa ni siku ya wapendanao i was expecting zipigwe nyimbo za heshima tena zile classic mfano "Luther vandross wimbo wake wa So Amazing", Celine Dion, Whitney Houston i will always love you, boys 2 Men, All 4 one - I swear, Damage- i'll be loving you forever, Maunda Zoro nataka niwe wako, yaani nyimbo za taratibu za mahaba mazito ambapo bwana na bibi harusi watafungua na wimbo huu wataratibu na kucheza kwa utulivu na kila mtu atanyanyuka na mpenzi wake au mtu atakayemchagua na kumshika na kucheza kwa mahaba mazito.

Hii kwanza inatoa nafasi ya hata wapenzi ambao wamekuja hapo kushiriki kuwa na msisimko na kukumbushia enzi wao wakifunga ndoa, na pia kwa wale new couples ndio muda sahihi sasa wa kuamua kuanza safari yao ya mapenzi.

Nyimbo za taratibu ni rahisi kucheza , hazitoi jasho, hata wale wasiojua kucheza ni rahisi sana kushiriki.

Haya manyimbo yenu ya kukata mauno wengine tuna aibu na hatupendi kushoboka mbele za watu mbele ya kamera plus unakuta anakuja mwanamke ambaye ni X wako anaanza kucheza kwa mitego mbele ya mkeo jambo ambalo ni aibu sana. Mimi huwa naboreka sana na ndio sababu huwa naona kazi sana kuhudhuria sherehe nyingi maana matukio huwa yanaboa sana.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Utakuta inapigwa amapiano moja hatari hadi aibu wanaona wakwe kama ni watu wazma
 
Back
Top Bottom