Unga wa Kitarasa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 398
- 101
kuna wimbo niliusikia leo Asubuhi kwenye Leo tena ya cloudsfm ..
umeimbwa na Nuruel na wasaani wengine mchanganyiko...jina siufahamu ila kiitikio ilikuwa...
🎵neeendaaaa ...mwambie mama....wewe ndiyo furaha na raha ya moyo wanguu uuuuh..🎼