nikiwa safarini kuelekea kahama nikitokea dar.nasikia wimbo ukizungumzia majungu kazini.sauti kama ya hussen jumbe. baadhi ya maneno ya wimbo huo ni...sasa nipo lindi nachapa kazi.hakuna majungu wala masufuria. umenigusa sana.wimbo huu
ni wa kundi gani? unaitwaje?
..
ni wa kundi gani? unaitwaje?
..