Wakuu, navutiwa sana na hii soundtrack inayotumika kwenye kipindi cha BONGA STAR TV kama ambavyo unaweza kuisikia kwenye clip hapo chini kuanzia 0:00 hadi 0:10.
Naombeni msaada, kwa yeyote ambaye anajua hii soundtrack ni ya wimbo gani au kama kuna ambaye anajua mahali ambapo naweza ku-download hii soundtrack tafadhali naomba unitupie link hapo chini maana hii soundtrack imeuteka moyo wangu vibaya mno na kuuning'iniza kwenye transfoma.