Huu Weusi!!!

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,828
Reaction score
12,321
Umeanzia mbali ivi, kule kwenyewe si pako kama pamepigwa bomu?

 
bongo mademu mcharuko aisee,for money they can do anything.
 
Nadhani amejitwisha boga,mwanamke mwenye akili kwa umri huo havai kama huyu ! Yachukiza
 
Dude kamahili lazima ukachekee chooni. Lol
 
Mkuu mbona sijakusoma?
Yani unategemea kope ziwe nyeupe kwa ishara kama iyo kweli?

Kakajambazi usiniangusha bana, chombo chenyewe always ni rangi ya msimbazi, sijawahi kuona au kusikia chenye rangi tofauti!!
 
Mh!
Wanaume wa hapa siwawezi,
Mnavyotujadili...
 
Hiyo ni migusano(friction) ya mapaja, hasa ukiwa kibonge. Nashangaa watu wengine wanapenda mhadhara sana kisa fashion.
 
Hiyo ni migusano(friction) ya mapaja, hasa ukiwa kibonge. Nashangaa watu wengine wanapenda mhadhara sana kisa fashion.

Yap ni sababu ya msuguano wa mapaja wakati wa kutembea hali hii huwakuta mabonge wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…