Duh! Hii ni zaidi ya hatari.
Ila ni ubunifu kwa huyo mwenye hiyo kampuni ya utalii. Kampuni yake inafanya kitu ambacho sio makampuni mengi yanafanya. Hivyo kwa watalii mwenye kupenda more than adventure and leisure, hiyo ni nafasi yao kujiachia.
Siku ya kufa nyani miti yote huteleza, hivi hapo imetokea la kutokea mara kakufuli kameachia si ndio mwanza wa kumsalimia kaka simba, ........kaka simba shikamoo...