GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,318
Michezaji ya Afrika sijui ikoje..ukianza kuwaza sana unapata shida. nakumbuka mechi flan kuna mchezaji wa team moja alikuwa anaamini kuwa anakosa magoli kwa sababu ya Taulo la kufutia jasho lililowekwa langoni pa team pinzani. hivyo akaamua kwenda kuliondoa taulo lile. nilikuwa natizama TV nliamua kubadilisha channel na kuangalia Documentary. Taulo linazuiaje wewe usifunge? hii inaingia akilini kweli? goli linaonekana pale unakosa unasema taulo linakuzuia usifunge ? Unaacha kufanya juhudi unaangalia taulo?
hayo hayakuisha juzi juzi hapa Yanga imecheza na Ngaya. wachezaji wa Team ya Yanga wakawa wanakosa magoli nadhani pia Ngaya safari hii walikuja wamejipanga na hawana tean hofu hivyo kwa kujua hawana cha kupoteza kwa kuwa walsihafungwa bao 5 huko kwao. basi wakaja kucheza kwa kujiachia, mechi ghafla ikawa ngumu kwa upande wa Yanga. Chezaji moja JInga likawa linaangalia kwa nini linakosa magoli. eti baada ya Utafiti akagundua kuwa sarafu ndo inamkosesha magoli. Yaani sarafu?????????????? sisi waafrika tuna tatizo gani? ile sarafu ndogo eti inamkosesha mtu kufunga?
kiukweli tuna tatizo kubwa kuliko. nakumbuka kombe la dunia lililopita team moja ya kutoka afrika iliamua kwenda na kundi lake la waganga ili waisadie ishinde. it didnt help at all. ni upuuzi wa kiwango cha PHD kuwekeza iman zetu kwenye ushirikina . tunapoenda kucheza mechi za ukweli huwa siku zote tunafungwa kwa kuwa tumewekeza kwenye iman zisizokuwa na msaada kwetu. tunahitaji kubadilika. imani hizo kama tunazo basi tusiache zitutawale kiasi hicho. kuna mikoa inasifika sana kwa uchawi kama Tanga na Rukwa. lakini sioni akam team zao zikifanya vizuri. Zanzibar kunasifika sana kwa mambo hayo ya kishirikina na ndo maana mara nyingine team eztu huenda huko .kuogeshwa maji machafu n.k lakini team zao hazifanyi vizuri.
nigeria, ghana,visiwa vya fiji,haiti, morocco,syria ni nchi ambazo zinaamini sana katika ushirikina. lakini hatuoni ushirikina huo ukiwafanikisha kwenye michezo ya kimataifa. mi nawashauri waafrika wafanye mazoezi na wajitume. kutafuta sarafu, mataulo,hirizi maji kwenye chupa havitawasaidia kufika huko tutakako. tutaendelea kunyanyasika kimiechezo miaka na miaka. wachezaji ficheni Ujinga wenu.