Peacesmart
Senior Member
- Apr 19, 2017
- 113
- 101
AiseeHuyo mzee ashukuru tu hajakutana na watu wenye akili kama zangu ,kwanza sijui mimi ndio ningelala jela kabla ya yeye kumaliza kutibiwa ngeo zake .


Adhabu ya kitanzi ingefaa wacha miaka 20...Kuna watu wanna roho ngumu.
Mke unae, unaenda kumfanyia Mtoto wa watu mambo Kama hayo loh.
Ujana haubagui.![]()
Kwa vile kasema baba ake Mtoto ni mpole.


Wengi wanajielewa ndugu ni uhuni tu...na mila au desturi za jamii mingi zimekua zinakingia kifua huu upuuzi ni wakati wa kuwatia uhanithi wabakaji wote now...matatizo ya akili sio bure..............
True thatKwa vile kasema baba ake Mtoto ni mpole.
Angekuwa na kichwa kinachopata moto. Angejikuta kamvunja kiuno huyo mzee
Ujana haubagui.![]()
Ni kweli anastahiliKifungo cha maisha
Kinamhusu huyu
[Color= yellow]Triple A[/color]
Watu wanasali sana ila makabaila wa aina hii wamekomaa na kubaka...Dunia imeisha wakuu tuanze kusali .