Huu usharobaro umepitiliza

TihZ

Senior Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
158
Reaction score
26
Katika Jumapili moja,kuna sharobaro mmoja alienda na demu wake kanisani...ukafika muda wa kutoa sadaka mara yule sharobaro akamzuia demu wake asitoe sadaka huku akimwambia ''don worry baby i will pay for you''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…