marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 968
- 1,695
Anautofauti gani ....griezman kamzidi nni Coutinhol ??USIMLINGANISHE AG7 NA HAO WAPUMBAVU
Barcelona hata wakiwa na kina ajibu bernabeu ni training ground yao wote tunajuaEndelea kupiga mahesabu tuu bt tukija kwa training ground (bernabeu)kichapo ni palepale.
Sio lazima ote tucheze wengine tumebaki kua mashabikiWe jamàa upo negative kwa kila kitu wenye soccer, sujui kama ulishawahi cheza mpira
Pole sana Dada angu Greizman mchezaji sio coutinho yuko team nzuri na hana maajabuAnautofauti gani ....griezman kamzidi nni Coutinhol ??
Unanyanyua pua kabisa kusema yeri Mina ni mchezajinashakuru sana now yule mkurugenzi wa ufundi kaondoka. maana yeye valvede ni mizinguo tu. valvede nae ajiangalie.
yeri mina nilikuwa namkubal kinoma lakn alipo sasa kunasikitisha!
usisahau arda thuran alvokuwa wa moto alivyotua kwetu barca sijui nn kilmpoteza
Siwezi Bishana Na WewUnanyanyua pua kabisa kusema yeri Mina ni mchezaji
Mm ndio sijui ila wewe haujui zaidi beki kazi yake kufunga au kukaba?Siwezi Bishana Na Wew
Tangu Lini Ukaujua Mpira?
Yeri Mina Barca Ilibidi Apewe Muda Tu. Uliona Kule Wc Russia Alivyocheza?? Alikuwa Ana Magol Mangapi? Umemskia Mtoa Mada Kasema Hao Wote Walikuwa Wazuri Ila Walipotea Walpokuja Barca!
Ni Vizuri Kunyamaza Kama Hujui
mungu wangu!Mm ndio sijui ila wewe haujui zaidi beki kazi yake kufunga au kukaba?
Kuna team gani kubwa yenye watu wenye akili timamu wameonyesha interest na YERI MINA?mungu wangu!
hivi wewe ni mzima kweli??
wapi nimesema kazi ya beki ni kufunga au kukaba?
beki kufunga ni extra ya kuongeza ubora wake na thamani pia.
kukaba ni kazi yake, na kufunga inabidi akipata chance!
nani atanunua beki hana uwezo wa kufunga magoli muhimu kama ile mipira ya kona inahitaji watu kama kina mina na thiago silva na huwa wanaitendea haki.
usipende kukaririt kama kasuku!
kwaheri
mina alitakiwa asiende barca mapema maana ndo sababu ilofanya wengi wasimuamini maana wengi walimjulia barca hata wewe pia.Kuna team gani kubwa yenye watu wenye akili timamu wameonyesha interest na YERI MINA?
nakazia kaka balotelli alivosemagaBarcelona hata wakiwa na kina ajibu bernabeu ni training ground yao wote tunajua