Bornventure
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 529
- 523
Sisi sote ni watumishi wa serikali ,pale Raisi anaposema yuko bize kuendeleza miradi mikubwa hivyo hawezi kuongeza mishahara hana pesa, Je hizo pesa anazowaongeza polisi kinyemela zinatoka wapi ? Polisi wanapewa laki 3 inaitwa *Package* au * Posho ya Vinywaji* . hii si sawa aise