Huu upatu wa MTFE ni fursa kweli au mimi ndio naenda kugeuzwa fursa?

Jana ndo wamemaliza mchezo. Wamepiga mkwanja wote na kuacha deni juu!!! Kila mwana mtfe akaunti inasoma salio negative yaani wanakudai! akaunti yangu ilikuwa na salio $701 leo hii inasoma $-1700 wanakwambia kama unataka kuendelea na biashara kichaa yao unatakiwa kulipa deni then uingize mtaji upya!
Duh.... kurareki!!
 
Hawa mtfe ni wezi wasio na adabu
Mkwanja wametupiga na bado wanatutisha!
Screenshot_20230819_221826_MTFE.jpg
 
Naomba kuuliza je ni wote waliowekeza hela wamepigwa au kuna waliofanikiwa kuwithdraw? Kuna mshikaji wangu aliwekeza anasema yeye jana alifanikiwa kuwithdraw hajapigwa et baadhi ndio wamepigwa. Nimehisi anaficha nisimuone kalizwa
Kapigwa huyo, hakuna aliyefanikiwa kuwithdtaw na mbaya zaidi wamechukua kila senti mpaka akaunti zinasoma -ve yaani wanatudai!
 
kuna siku watapotea ghafla hata hamtajua wamepotelea wapi, Trust me they may be sounds serious now lakini kama unataka kuwa Forex trader ni Bora ujifunze tu il u-trade mwenyewe ingawa si kushauri kuingia huku, Forex is always risky no matter who's trading a professional trader either does loss ije iwe Kwa robot mh!
Ninachokitabili Mimi kuna siku Tu isiyo na jina hawa MTFE watapotea yaani ghafla Tu platform itakuwa haifanyi Kazi, itaanza changamoto mara kuwithdraw inasumbua mara hivi mara vile finally pesa za watu zitafia huko na hamtawaona hawa jamaa, Watu watapigwa
Am not standing against MTFE but some of people right here wanaweza kuwa mashahidi wa zile platform za uwekezaji zilizotamba 2019 Hadi 2021 kila Mtu akaenda kuwekeza mwisho wa siku walipotea ghafla watu wakawa wamelizwa, history does repeat itself, so sitaki kuwaamini Bora u-trade mwenyewe Kwa registered brokers upate hasara or faida it's okay.
Ila kwa kipind hiki unaweza kuishi nao Tu Ila ukiona dalili kama huelewi jua kinataka kuwaka!
CHOMOKA !!!!!!!!!

giphy.gif
 
Back
Top Bottom