selina mrembo
Member
- May 18, 2020
- 54
- 68
Huyu mama mkwe kama mnafiki naona kama saizi ananipenda sana baada ya kuachana na mtoto wake.
Nakumbuka uko nyuma niliwahi kaa kwake na mtoto ake alimwambia mtoto wake nirudi kwetu kwani sio vizuri kuendelea kukaa pale kwasababu alitoa barua tu.
Ila nikiwa mbali alikuwa ananitafuta kunijulia hali nikienda kwake ananisalimia kwa kuniheshimu tu, ila jamani mi namwona kama mnafiki mnafiki ajatukalisha ata na mwanae kusolve ugomvi sana sana alimpigia tu simu kumuuliza na ugomvi ukazidi kupamba moto tu.