Huu unafiki wa Lowassa unatisha

huogopi kumuita Lowasa mpinzani. !? Lowasa kapoteza muelekeo wa kisiasa na hata hajui anachokitaka sasa ni nini.

Haya wewe ndo una muelekeo wa kisiasa..sibishani na ma zero brain..ambao hawana fair measurement za mambo yanao tokea katika hali ya uhalisia..
 

Na awakomoe tu,kwani wana nini bwana
 
Kama maCCM hamna uchu kwanini karibu serikali yote ilijitokeza kuwania kuteuliwa
 
Kuchukua dola ni vita mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…