Dah usifanye Hilo kosa Tena, huwezi kumwambia demu hivyoNmelala nadaiwa songesha, uku nina pisi moja kali na ndo naitegemea na inanitegemea.
Nashtuka zangu usingizini baada ya jana kurudi home saa 7 nikiwa kwa wana tunakula machingwa usku wa manane.
Ghafla inaingia text inaniomba buku jero huku nadaiwa songesha, mwili umesisimka na sina ata mia ndani,m.
uzuri nisipotuma atajua sina ila umaskini sio mzuriView attachment 2225364
yawezekana pia ikawa ni LauncherPole mkuu... nnavoona hapo interface ya simu yako ni apple. Uza hilo tunda nunua techno iliobaki fanya mtahi wa ile biashara jamaa alisema ya matikiti
Inategemea na uelewa wake kama wanajuana hali zaoDah usifanye Hilo kosa Tena, huwezi kumwambia demu hivyo
Kama ni 5 je, hata mtaji hautoshiPole mkuu... nnavoona hapo interface ya simu yako ni apple. Uza hilo tunda nunua techno iliobaki fanya mtahi wa ile biashara jamaa alisema ya matikiti
Karibu JF ambamo wanaume wake wote wana ma Range isipokuwa mwanzisha uzi ambae anaamka asubuhi bila mia mfukoni!
πππ umetishaπ π π π π π π
Me nadaiwa songesha, mpawa, timiza, kamilisha na tigo nivushe
Mm Nina gar ila CYO rang rover ingawa sas HV nimepaki had Hali ya uchumi wangu uimarikeKaribu JF ambamo wanaume wake wote wana ma Range isipokuwa mwanzisha uzi ambae anaamka asubuhi bila mia mfukoni!
Yaaaniπ ππππ umetisha