Huu ulinzi wa Trump akiwa Jerusalem

Huu ulinzi wa Trump akiwa Jerusalem

Kwa maana Leo trump kapita kote huko ambako hamas ndo wanaendesha matukio yao,..
Ila hakuna hata mjusi aliyekatiza mji uko kimyaaaaa wameona dawa pekee ni mgomo kakuna kupiga hata chafya .....
Kumbe hawa jamaa ni waoga eeh wanamsumbuaga Netanyau sasa kiboko yao yuko kitaa anapiga misele...
... wanakofanyiaga ujinga wao .... ha ha ha. Hakuna hata aliyerusha kiatu; mianaume mizima na midevu yako kimya kama kuku ananyonyolewa. Hakuna cha Hizbullah ya Iran wala Hamas ya Sheikh Yasin.
 
Jamani Wajuvi ( Pundits ) wa haya Masuala mazima ya Ulinzi na Usalama hivi hii Miwami myeusi ambao huwa wanaivaa hawa Walinzi wa Wakubwa kama hii tunayoiona sasa kwa Walinzi wa Rais Trump huwa ina Kazi gani kubwa? Ni kwamba huwa wanajikinga tu na jua au huofia labda kupata Ugonjwa hatari wa macho uitwao Red Eyes? Nitafurahi nikielimishwa juu ya hili jambo ili kusudi nami nizidi kuwa mjuvi / pundit kama nyie wenzangu.
Mkuu, wale huvaa miwani ili iwawie urahisi kukutazama popote pale ambapo atataka bila ya wewe kufahamu kuwa anakuangalia wapi. Kwa hiyo, anaweza kuzungusha macho popote huku wewe ukiamini anakuangalia wewe.

Pili, ni kuwapumbaza maadui. Kama kuna mtu ana nia mbaya na Mkuu, kwanza atataka kuangalia ulinzi wake upo vipi. Kwa hiyo akiwatupia macho Walinzi na kuona haswa macho yao yameelekea huko, atapata kutambua ni wapi apitie kwa muelekeo ambao haangaliwi.

Tatu, huwasaidia pia kujikinga na Vumbi. Mfano, katika mazingira yenye upepo, hii huwasaidia upepo usiwaumize macho na kukosa nguvu ya kumlinda Boss wao.

Nne, kuwasaidia kuangalia angani. Endapo kuna tishio lolote angani, miwani ile huwasaidia kuangalia vema anga hata kipindi cha jua na wasiumie macho.

Tano, huwasaidia kuficha hisia zao. Mfano, ameona mtu mwenye bastola, kama alivyo mtu wa kawaida na hisia zake lazima ashtuke. Na kushtuka kwake lazima kuanzie machoni, hii humsaidia kutompa nafasi adui kuonyesha kuwa ameshtuka hivyo humpa nafasi ya kujimudu na kumshughulikia.
 
Ungelijua kuwa nipo nakaa nacheki fox news morning to mid night mwisho wa mwezi naingiza not less than 5000$ pole zako tumia akili acha wivu
Nishirikishe fursa mkuu[emoji120] [emoji120]
 
Mkuu, wale huvaa miwani ili iwawie urahisi kukutazama popote pale ambapo atataka bila ya wewe kufahamu kuwa anakuangalia wapi. Kwa hiyo, anaweza kuzungusha macho popote huku wewe ukiamini anakuangalia wewe.

Pili, ni kuwapumbaza maadui. Kama kuna mtu ana nia mbaya na Mkuu, kwanza atataka kuangalia ulinzi wake upo vipi. Kwa hiyo akiwatupia macho Walinzi na kuona haswa macho yao yameelekea huko, atapata kutambua ni wapi apitie kwa muelekeo ambao haangaliwi.

Tatu, huwasaidia pia kujikinga na Vumbi. Mfano, katika mazingira yenye upepo, hii huwasaidia upepo usiwaumize macho na kukosa nguvu ya kumlinda Boss wao.

Nne, kuwasaidia kuangalia angani. Endapo kuna tishio lolote angani, miwani ile huwasaidia kuangalia vema anga hata kipindi cha jua na wasiumie macho.

Tano, huwasaidia kuficha hisia zao. Mfano, ameona mtu mwenye bastola, kama alivyo mtu wa kawaida na hisia zake lazima ashtuke. Na kushtuka kwake lazima kuanzie machoni, hii humsaidia kutompa nafasi adui kuonyesha kuwa ameshtuka hivyo humpa nafasi ya kujimudu na kumshughulikia.
Informative. Ahsante mkuu
 
Ilmu murua. Thanks bro.
 
Trump alinifurahisha sana pale Netanyau alipoomba waongozane wote kwenda pale west wall,
Trump alikataa.
Hakuna kiongozi wa israel wa kisiasa aliekubaliwa kuingia na Trump east jerusalem,

saa hizi waisrael wengine wamenuna kwani wanahisi Trump kawadanganya kuhusu kuhamisha ubalozi wake toka tel aviv kuja jerusalem
 
Mkuu, wale huvaa miwani ili iwawie urahisi kukutazama popote pale ambapo atataka bila ya wewe kufahamu kuwa anakuangalia wapi. Kwa hiyo, anaweza kuzungusha macho popote huku wewe ukiamini anakuangalia wewe.

Pili, ni kuwapumbaza maadui. Kama kuna mtu ana nia mbaya na Mkuu, kwanza atataka kuangalia ulinzi wake upo vipi. Kwa hiyo akiwatupia macho Walinzi na kuona haswa macho yao yameelekea huko, atapata kutambua ni wapi apitie kwa muelekeo ambao haangaliwi.

Tatu, huwasaidia pia kujikinga na Vumbi. Mfano, katika mazingira yenye upepo, hii huwasaidia upepo usiwaumize macho na kukosa nguvu ya kumlinda Boss wao.

Nne, kuwasaidia kuangalia angani. Endapo kuna tishio lolote angani, miwani ile huwasaidia kuangalia vema anga hata kipindi cha jua na wasiumie macho.

Tano, huwasaidia kuficha hisia zao. Mfano, ameona mtu mwenye bastola, kama alivyo mtu wa kawaida na hisia zake lazima ashtuke. Na kushtuka kwake lazima kuanzie machoni, hii humsaidia kutompa nafasi adui kuonyesha kuwa ameshtuka hivyo humpa nafasi ya kujimudu na kumshughulikia.

Akhsante sana Mbobezi / Pundit wa Masuala mazima ya Ulinzi na Usalama hasa wa Viongozi ( yaani ) VIP Protection.
 
Kwa maana Leo trump kapita kote huko ambako hamas ndo wanaendesha matukio yao,..
Ila hakuna hata mjusi aliyekatiza mji uko kimyaaaaa wameona dawa pekee ni mgomo kakuna kupiga hata chafya .....
Kumbe hawa jamaa ni waoga eeh wanamsumbuaga Netanyau sasa kiboko yao yuko kitaa anapiga misele...
Kabla trump hajaingia kiliingia kikosi balaa, hakina majadiliano,
 
Marekani kwenye swala la ulinzi hakuna mbadala ...
sijui kuamini maombi ...sijui kuamini dereva ...sijui kuamini gari...
wao ni mwendo wa kazi tu... hawa wanume hawataki mbwembwe kabisa.
ukijichanganya ni gusa unate.

Hapa akiwa Saud Arabia

View attachment 512847
View attachment 512848View attachment 512851View attachment 512850View attachment 512849
Dah, mwenye hela mpishe apite, yaani Saudia japokua kuna sheria kali kuhusu mwanamke lkn leo mwanamama FLUSA anapeana mkono na King of Saud daaah😀😀😀
 
Back
Top Bottom