Huu ulinzi wa Trump akiwa Jerusalem

Kwa maana Leo trump kapita kote huko ambako hamas ndo wanaendesha matukio yao,..
Ila hakuna hata mjusi aliyekatiza mji uko kimyaaaaa wameona dawa pekee ni mgomo kakuna kupiga hata chafya .....
Kumbe hawa jamaa ni waoga eeh wanamsumbuaga Netanyau sasa kiboko yao yuko kitaa anapiga misele...
Ha ha ha ha ha
 
Majukumu makubwa ya Secret service ni kuhakikisha Rais na familia yake wanakuwa safe kwa gharama yeyote kitu pekee ambacho Secret Service would not protect Trump from the press, but they will protect Trump from assassins with guns, not with assassins with pencils & pen
Mbona umeandika kiuchochezi mkuu
 
Wasawahili huwa hawakosi sababu.. lazima watafute kitu wakushushe tu japo ulingane na wao.
hata kama azazel atamchukua trumph si level yako..
Acha kumpa sifa za kijinga... I don't give a damn huyo Trump ni nani maana mwisho wa siku we're all pink in the inside.
Na kama haitoshi wote tunakunya, tunakojoa, tunajamba, tunatombana, tunakula na kulala same activities all day everyday.
Sasa sijui hiyo level unayo izungumzia ni ipi.
 
79f60299cb2bd46048b729ac5cecd886.jpg
kuna secret service na tinted zao wamejaa maeneo hayo aisee hata nzi sidhani kama anaruhusiwa kupita!
79f60299cb2bd46048b729ac5cecd886.jpg
kuna secret service na tinted zao wamejaa maeneo hayo aisee hata nzi sidhani kama anaruhusiwa kupita!
Haya mahaba ndo yanasababisha hata mkiambiwa muhalalishe mapenzi ya jinsia moja mnakubali.....
 
Jamani Wajuvi ( Pundits ) wa haya Masuala mazima ya Ulinzi na Usalama hivi hii Miwami myeusi ambao huwa wanaivaa hawa Walinzi wa Wakubwa kama hii tunayoiona sasa kwa Walinzi wa Rais Trump huwa ina Kazi gani kubwa? Ni kwamba huwa wanajikinga tu na jua au huofia labda kupata Ugonjwa hatari wa macho uitwao Red Eyes? Nitafurahi nikielimishwa juu ya hili jambo ili kusudi nami nizidi kuwa mjuvi / pundit kama nyie wenzangu.
 
Hizo miwani nawaonaga Red Brigade wa chadema wanavaaga nasikia wakikuangalia wanaona mpaka utumbo.
 
Haya mahaba ndo yanasababisha hata mkiambiwa muhalalishe mapenzi ya jinsia moja mnakubali.....
Weka nawewe thread ya magufuli, mi namkubali trump full stop! Tusipangiane we kama unataka kuwa shoga basi kaungane na makonda
 
Back
Top Bottom