New york City
Senior Member
- Jul 24, 2020
- 175
- 566
Hivi sisi watanzani ni watu wa aina gani? Kila nilipojaribu kutembelea watu wa makundi tofauti tofauti nimegundua watu wengi wana hali mbaya na kuilaumu sana serikali ya Kijani kwa ugumu wa maisha.
Ukiwasikiliza watumishi unaweza kutokwa machozi, ukija kwa graduates wamekata tamaa kabisa jana nimekaa na wafanyabiashara ndio kabisaaa hawana hali lakini pamoja na yote hayo wanasema hakuna mpinzani yoyote anaweza kuongoza nchi.
Hili jambo limenifanya niwaze sana kama issue ni elimu mbona bado kuna Graduates wengi na watumishi, maprofesa kwa madokta wanaamini utawala CCM hauna mbadala?
Wapo watumishi wengine wanamsimamo lakini wakisikia mwezi huu kuna ongezeko la tsh 10,000 kwenye mshahara wanageuka, graduates wamesikia kutakuwa na ajira soon wamelainika pia, tatizo letu ni nini? Halafu baada ya uchaguzi yanaanza kulalamika mwisho yanakamatwa kwa uchochezi, huu unafiki utaisha lini?
Nchi kama Kenya, Zambia, Malawi, wameshatawaliwa na wapinzani na mara kadhaa, why not us? Utasikia Mtumishi anasema Tundu Lissu anajua lakini asipewe nchi, why is that? Kama wapinzani wakishindwa si tuna election after five years.
Mimi si mwanachama wa chama chochote lakini natamani sana kuona wapinzani wakichukua dola then kama wakiharibu tuwachinjie mbali.