Na bila Baba kulipa fees, hapo TRA angekuwepo?
sasa naona kijana unataka kuleta mambo ya yai na kuku nani alianza mweh!Na bila Baba kulipa fees, hapo TRA angekuwepo?
Judgement,are you serious? How dare you?
Ambao hamjazaa,inshalah mola awajalie uoe,mzae,mlee na kisha ndo mrudi uzi huu.
Kuzaa na kulea ni jukumu kubwa sana,omba Mungu akupe mzazi mwenzio mlee pamoja.
Kijana hana adabu, haikuwa busara kumjibu hivyo baba yake..........Ndio mwalimu alimpa maarifa lakini kusomesha ni zaidi ya mwalimu kunahitajika jitihada ya mzazi kuhakikisha mwanafunzi amekwenda shule, amepata chakula, sare, na maneno ya kumtia moyo mwanafunzi.......isingekuwa haya angeweza kumsikiliza mwalimu?
Hichi ndicho kizaz cha karne 21.
Ninasibishe misemo hii miwili na ninachokisemea hapa.
"Tembea uyaone" na
"Hujafa hujaumbika"
Hii ni kauli iliyobeba malalamiko lukuki kutoka kwa Baba (mzazi) kwenda kwa kijana wake wa kiume :-
"Huyu mtoto nimemsomesha kwa gharama zangu , nikijinyima mambo kadha wa kadha , nikijua nawekeza kwa mwanangu.
Matarajio ni aje kunilea pale mie nitakapofikia kuchoka.
Umefika wakati sasa nimechoka nahitaji nipate mafao yalionifanya niwekeze kwake hali imekua kinyume na matarajio.
Mwanangu ana kazi nzuri ni Boss Pale TRA , lakini sina faida nae! .
Wanaonufaika na pesa zake ni wanawake malaya na wenye ma'Bar, yeye ni pombe , pombe na yeye.
Hivi majuzi tumetoleana nae maneno , tumebishana sana akiwa kalewa ananiambia mimi sikumsomesha, bali kasomeshwa na walimu shuleni, namnukuu "kwani pesa zako ulizokua unalipa bila walimu ningesoma?" mwisho nukuu.
Wadau ubishi wa nani kamsomesha kijana baina ya Baba na Mwalimu tuusemeeje ?
Kijana ndiyo yuko sahihi au Baba?
Kwa maana ya kusema kila mmoja kati yao apaswa aishi kivyakevyake?
Nawasilisha.
pole kwa mahasibu, ila epuka kubishana na mtu aliyelewa hamtapata muafaka. Ongea nae akiwa sober na uone atajibu nini.Ninasibishe misemo hii miwili na ninachokisemea hapa.
"Tembea uyaone" na
"Hujafa hujaumbika"
Hii ni kauli iliyobeba malalamiko lukuki kutoka kwa Baba (mzazi) kwenda kwa kijana wake wa kiume :-
"Huyu mtoto nimemsomesha kwa gharama zangu , nikijinyima mambo kadha wa kadha , nikijua nawekeza kwa mwanangu.
Matarajio ni aje kunilea pale mie nitakapofikia kuchoka.
Umefika wakati sasa nimechoka nahitaji nipate mafao yalionifanya niwekeze kwake hali imekua kinyume na matarajio.
Mwanangu ana kazi nzuri ni Boss Pale TRA , lakini sina faida nae! .
Wanaonufaika na pesa zake ni wanawake malaya na wenye ma'Bar, yeye ni pombe , pombe na yeye.
Hivi majuzi tumetoleana nae maneno , tumebishana sana akiwa kalewa ananiambia mimi sikumsomesha, bali kasomeshwa na walimu shuleni, namnukuu "kwani pesa zako ulizokua unalipa bila walimu ningesoma?" mwisho nukuu.
nini kilianza: yai vs kukuWadau ubishi wa nani kamsomesha kijana baina ya Baba na Mwalimu tuusemeeje ?
Kijana ndiyo yuko sahihi au Baba?
Kwa maana ya kusema kila mmoja kati yao apaswa aishi kivyakevyake?
Nawasilisha.
Kijana ni chizi........! sema tu hajafikia hatua ya kupelekwa mirembe