Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Kujaaa hapa Hakuna kwenda pahala
Wewe lin nmemuweka ndan kimagumashi she deserve more than than u knw le mbebez asemavyo bwana Yule
Kwahiyo hizi ndio anadeserve uh!!!
Ha ha ha ila Kwan tatzo liko wap dada wewe maana sielew heaven kuwekwa ndan
Haya.
Habari za kushindaHa ha ha ha bring back your family umeimiss sana ila sasa hutak kuonekana kama u need them we are your children take easy on us
Heaven Sent mwambie bi mkubwa atulize munkari
Heaven Sent is and will always be my dota, sina tatizo nae kabisaaaa.
So una tatzo na mm right?
Nzur mama umeshinda salamaHabari za kushinda
Salama kabisa, namshukuru Mungu; sijui weweNzur mama umeshinda salama
Nzuri dota.Habari za kushinda
Nawaona na mkweo[emoji33] [emoji33]Nzuri dota.
Niko sawa tu najarbu kuyaweka Sawa na mzaa chemaSalama kabisa, namshukuru Mungu; sijui wewe
Uwepo wako utarudsha amanNawaona na mkweo[emoji33] [emoji33]
Aah Usijali, ndo nimekuja kama hiviUwepo wako utarudsha aman
Niko sawa tu najarbu kuyaweka Sawa na mzaa chema
Ndio nnachokupendea mamaAah Usijali, ndo nimekuja kama hivi
Na alegee
Akuu[emoji57] [emoji57]Nawaona na mkweo[emoji33] [emoji33]
[emoji33] [emoji33] [emoji33]Akuu[emoji57] [emoji57]
MmmmhAkuu[emoji57] [emoji57]
Nimeipenda sana hii. Mkuu umechambua vzr kuonyesha vile idadi ya wanaume ni ndogo sana kulinganisha na idadi ya wadadaa....!Wewe endelea kugonga single paka uingie katika chati za billboard na ushike ushike nafasi za juu kabisa,maana idadi ya wanaume ni ndogo kuliko Wana wake,na katika hyo idadi ndogo ya wanaume,Kuna mashoga ndani yake,Kuna machizi,Kuna wagonjwa,Kuna wale ambao unasemaga hamuendani kwa sababu hizi na zile kama mateja,vibaka,kiuchumi n.k........
Kwa hiyo wewe endelea tu kugonga hits kali gonga album,Aina ya wanaume ambao sija wataja wengi wapo kwenye ndoa ama mahusiano ya uchumba na wengine ni maplayboy na wachache sana wapo single,Sasa kama una roho ya kijasiri jaribu kuangalia katika kundi hili uweze kuwa ka mchepuko,na ukitaka wako peke yako chonga mgomba ama sanamu uweke ndani...
Naimani ujumbe ume wafikia mkuu..Nimeipenda sana hii. Mkuu umechambua vzr kuonyesha vile idadi ya wanaume ni ndogo sana kulinganisha na idadi ya wadadaa....!