Huu tunauita uzalendo

chardams

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
2,450
Reaction score
1,751
Huyu jamaa kwenye hii picha anaonesha uzalendo: lakini hawa dada zetu wa dotcom watamuona kama mshamba
 
hahahahah uzalendo gani huo atakuwa kachacha tu huyo
 
Na bidada nae she is like woow icant believe this kwa namna hii maduka ya maua yafungwe tu
 
Angempelekea na kiroba cha mchele na kuku pembeni...Mbona angemshangaza zaidi.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Jamaa ----- kweli baada kwanini asimpe ile ndizi nyengine.
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…