Huu sio uungwana hata kama nimelewa nimeagiza ya kuondoka nayo hom, nafika hom nakuta nyama iko hivi , ustaabu gani huu? kwahiyo Nile mindizi nikalale nyama imekua mkaa

Tatizo la pombe hata uvae suti unakosa heshima na kudharauliwa hata na wauza mishikaki ya panya, ila utaheshimiwa na walevi wenzako na malaya maana utakuwa mteja wao mzuri sana tofauti na ukiwa hujalewa, nakutaki safari njema uepukane na kuwahishwa mbinguni.