Ile ofisi sio ya u-spike, ni ya mbunge. Kujenga ofisi kubwa vile sio issue, issue ninayoiona ni ofisi ya mbunge kujengwa ndani ya nyumba yake Kama vile yenye atakuwa mbunge milele, Siku akikosa ubunge sijui inakuwajeJamani naomba kuuliza samwel sita kwenda kujenga ofisi ya spika urambo kwa gharama kubwa namna hiyo tena pesa zetu sisi walipa kodi ni sawa ? Sasa kama kila atakayeshika nafasi ya uspika anakwenda kujenga ofisi kwao tutafika ! Naomba maoni yenu,sidhani kama ni msafi kwa jinsi anavyojinadi.
Ile ofisi sio ya u-spike, ni ya mbunge. Kujenga ofisi kubwa vile sio issue, issue ninayoiona ni ofisi ya mbunge kujengwa ndani ya nyumba yake Kama vile yenye atakuwa mbunge milele, Siku akikosa ubunge sijui inakuwaje
Bwana Six ni fisadi wa kutupwa, umwamba alikuwa nao akiwa Speaker ulifanya aogopwe sana, na ngao yake kubwa ilikuwa wabunge bila kujali wanatoka chama gani. Ndio maana kila ku kichwa alikuwa anawaongezea mafao ili aendelee na madaraka hayo, lkn chama chake wakamtengua kiuno.Kama hivyo ulivyoandika ni kweli ,basi kunatatizo la msingi hapa! Inakuwaje fedha za serikali zilizotengwa kujengea ofisi ya mbunge zikatumika kujenga ofisi hiyo kwenye kiwanja cha mtu binafsi; akiwa mbunge au asiwe mbunge? Kuna haja ya kulichunguza hili kwa undani wake na bunge likapewa majibu stahiki.