Huu sasa siyo usanii ni ulimbukeni

hana akili wenzake wa akina rihana wanafanya hivyo wanalipwa yeye bure
 
Anavutia mweee!! Acheni maua yachanue au mnataka yajifungie ndani tukose uhondo kama huu!?
 
Hapo tu ndo peupe kwingine mweusi akivua
Na kwingine sugu imeota uazania anabeba mchanga
 
Biashara ni matangazo...mwacheni dada wa watu atangaze kazi yake...
 
Hata tubaki wawili duniani yani niende kenya kongo marekani yani yuko yeye tu duniani mi spigi..
 
Mmhhh dodo limetulia sema ndo hvyo tena yupo kwenye danger zone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…