KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,634 Reaction score 89,398 Oct 23, 2019 #2 Hesabu ni janga la taifa
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 21,283 Reaction score 49,324 Oct 23, 2019 #3 Kuna muda unaona bora serikali walivyopiga pingu vyombo vya habari.
mbarika JF-Expert Member Joined Apr 1, 2015 Posts 7,687 Reaction score 10,369 Oct 23, 2019 #4 Wajinga na Wapumbavu ni mzigo kwa jamii Matahira hao
Kawe Alumni JF-Expert Member Joined Mar 20, 2019 Posts 8,686 Reaction score 12,016 Oct 23, 2019 #5 Cuf imetulia baada ya mamluki maalim seif kutimuliwa
MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,262 Reaction score 6,826 Oct 23, 2019 #6 Huyo keshapoteza ramani
Abdalla mpemba JF-Expert Member Joined Dec 31, 2016 Posts 657 Reaction score 908 Oct 23, 2019 #7 Kawe Alumni said: Cuf imetulia baada ya mamluki maalim seif kutimuliwa Click to expand... Maalim ni mwanasiasa ambaye Tanganyika mzima hakuna hata robo anaemfikia yule mzee ni MTU mwenye hekima busara upendo kwa jamii na hanakinyongo wala chuki kwa yote mabaya munayomfanyia
Kawe Alumni said: Cuf imetulia baada ya mamluki maalim seif kutimuliwa Click to expand... Maalim ni mwanasiasa ambaye Tanganyika mzima hakuna hata robo anaemfikia yule mzee ni MTU mwenye hekima busara upendo kwa jamii na hanakinyongo wala chuki kwa yote mabaya munayomfanyia
Mfilisti JF-Expert Member Joined Sep 24, 2015 Posts 3,729 Reaction score 19,466 Oct 23, 2019 Thread starter #8 KENZY said: Hesabu ni janga la taifa Click to expand... tuombe msaada kutoka nchi za magharibi
Mfilisti JF-Expert Member Joined Sep 24, 2015 Posts 3,729 Reaction score 19,466 Oct 23, 2019 Thread starter #9 The Monk said: Kuna muda unaona bora serikali walivyopiga pingu vyombo vya habari. Click to expand... unataka kujaribu kusema nini
The Monk said: Kuna muda unaona bora serikali walivyopiga pingu vyombo vya habari. Click to expand... unataka kujaribu kusema nini
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,111 Reaction score 75,566 Oct 24, 2019 #10 Hicho ni kitendea kazi cha CCM