Nchi nyingine zenye waandishi wa vyombo vya habari wanaojitambua Kama mhimili wa nne wa nchi wangeshakataa kutangaza habari zote zitazotolewa na madelu na wizara yake ya uporaji na huenda wangeandaa mijadala kwenye tv na magazeti ya kumshinikiza aliyemteua amfute kazi mara moja Kisha apeke mswada bungeni wa kufuta tozo zote na ikimpendeza amuonye mwanasheria mkuu wa serikali na spika Kwa kitendo Chao Cha kumharibia image yake Kwa wananchi!
Madam, shtuka! AG, waziri wa fedha na spika ni sukuma fc Wana hidden agenda juu Yako 2025.