Huu ni UTOTO au...

But there is no one who cares about us. No mater how childsh we can pretend we areee!!!!!!:eyebrows::eyebrows::eyebrows:
 
Binadamu atuishiwi maneno muacheni kwa raha zake.....!!!
 
watoto huwa ikikwama ghafla inagonga kwenye tumbo huyu kijiti kitagonga kwenye nanilii
 
Waulize CCM labda watatuambia kwanini wanatufanyia hivi hata katiba mpya tuikose 2015?
 
Tatizo alipokuwa mdogo hakupata mda wa kucheza kitoto mara nyingi alikuwa shule(bording)
hivyo aliruka topic ndo kaamua kuiendeleza ukubwani!
 
Labda utotoni hakupitia hiyo michezo
 
Au inawezekana ni mtoto sema ana umbo la kiutu uzima

Maana hawa watoto wa dijitali wanakua haraka mno, unawezamkuta huyo ana miaka minane
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…