Huu ni utapeli wa kiwango cha chini sana!!!!

Huu ni utapeli wa kiwango cha chini sana!!!!

lazima ukae

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2013
Posts
791
Reaction score
417
Jamaa eti kanitumia hii sms akidhani natapelika kirahisi;


Hello, am Mr. Ibrahim from St. NEILSON HIGH SCHOOL Dar, tupo kikaoni tunapitia cv za kuinterview for SECONDARY SCHOOL TEACHER post, CV yako ni nzuri nitakusaidia upate hii kazi kwa masharti yafuatayo, salary ni 1,000,000/=(take home) ukilipwa mshahara wa kwanza utanipa laki 3 kwa kukusaidia, na kabla ya saa 10 na nusu jioni leo uwe umetuma Tsh. elfu 30 by tigopesa kwenda namba hiihii ili nimpe mtu wa interview atanipa maswali nitakutumia leoleo kwenye email, ntakupigia simu nikitoka kikaoni.

Kwa hii sms yake inabidi arudi tena darasani ajifunze mbinu mpya za kutapeli sababu hii ni mbinu ya kizamani sana
 
tapeli huyo hata me alntumia hvyo hvyo kabadilisha position na mshahara kuliko baki hajaedit
 
Ukiapply kazi kwa Apply Now button ya Zoom utapata tu meseji za namna hii
 
Kuna mtu alimwambia same Shit nikamshauri aombe waonane ili ampe Cash na discuss some key issues, jamaa kalala mbele Sim haipatikani.
 
Huyo Mr Ibrahim sio mbunifu kabisaa.....huo utapeli ulishapitwa na wakati yaan anabadili makampuni tu..Hr wa ajabu sana uyo
 
Ni kawaida sana ukwel kuchelewa na uongo huwah, Mr Ibrahim amewahsha uongo akajpange kvngne tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom