Huu ni utapeli wa kielimu,tuupige vita

Huu ni utapeli wa kielimu,tuupige vita

tuwe wakweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
223
Reaction score
59
Mtu anaanzisha shule,then kwenye matangazo anaenda kupiga picha majengo sehemu nyingine kama ya chuo fulani kikuu na kusifia huduma zake,lakini kumbe ukweli ni mwingine na wengine wakifika wanaanza kujuta kwani kila kitu standard yake ni F.

NAWASILISHA
 
"Mbuzi kwenye gunia "
Sasa na nyinyi wasomi mnashindwa kufanya hata kwa investigation kuhusu hiyo shule /chuo husika??
 
"Mbuzi kwenye gunia "
Sasa na nyinyi wasomi mnashindwa kufanya hata kwa investigation kuhusu hiyo shule /chuo husika??

Naona wengi hawafanyi utafiti,ila malalamiko yapo mengi mno.
 
mtu anaanzisha shule,then kwenye matangazo anaenda kupiga picha majengo sehemu nyingine kama ya chuo fulani kikuu na kusifia huduma zake,lakini kumbe ukweli ni mwingine na wengine wakifika wanaanza kujuta kwani kila kitu standard yake ni f.

Nawasilisha

huu ni utapeli.hata mimi nimeona hilo.(wakati mwingine ni mbinu za kibiashara kwani unakuta serikali imeshakagua na kuipitisha na wao kobiashara wanafanya promo. Ili wapate wateja.
 
Mtu anaanzisha shule,then kwenye matangazo anaenda kupiga picha majengo sehemu nyingine kama ya chuo fulani kikuu na kusifia huduma zake,lakini kumbe ukweli ni mwingine na wengine wakifika wanaanza kujuta kwani kila kitu standard yake ni F.

NAWASILISHA

umenikumbusha mbali sana na ukweli mtupu, chuo cha st joseph tawi la songea kilivo bora hata shule za msingi za bush huko lakini kwenye website yake wameweka ghorofa ambalo ni chuo kilichoko dsm hasahasa college of information tech ukifika utajua kuwa tz kuna vyuo bwana.
 
Back
Top Bottom